Swali: Ni ipi hukumu kwa wanaume kupiga dufu?

Jibu: Sisi hivi sasa tunawazungumzisha wanawake namna ambavyo wanapindukia mpaka katika kupiga dufu. Ni vipi ikiwa tutawajuzishia wanaume?

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (11)
  • Imechapishwa: 03/05/2020