Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kumpa mtoto jina la “Iymaan”

Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa msichana wake jina la “Iymaan”?

Jibu: Haijuzu. Kwa kuwa ni aina ya kujisifu.

Swali: Je, anatakiwa kubadili jina lake ikiwa anaitwa hivyo?

Jibu: Ndio, anatakiwa kulibadili.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Liqaa’aatiy ma’a ash-Shaykhayn Maswali yameulizwa na ´Abdullaah at-Tayyaar (2/145)
  • Imechapishwa: 06/10/2020