Ibn ´Uthaymiyn hongera kwa kuingia mwaka mpya ya Kiislamu

Swali: Inajuzu kupeana hongera kwa kuingia mwaka mpya?

Jibu: Sijui kuwa kitendo hichi kina msingi katika Sunnah wala katika matendo ya Salaf. Ni mazowea. Wewe usifanye hivo. Lakini yule atakayeanza kukupongeza muitikie. Kwa sababu hakukupongeza isipokuwa ni kwa sababu anakupenda na furaha ya kuingia mwaka mpya. Hivyo basi yule mwenye kukupa hongera muitikie. Na yule asiyefanya hivo basi wewe usianze.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (63) http://binothaimeen.net/content/1454
  • Imechapishwa: 06/01/2020