Ibn Baaz kuhusu upokezi unaosema kuwa Imaam Ahmad amejuzisha kutawasali kwa Mtume

Swali: Je, imesihi kutoka kwa Imaam Ahmad ya kwamba anaonelea kufaa kufanya Tawassul kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) peke yake?

Jibu: Yamepokelewa hayo. Lakini linalojulikana kutoka kwake na kwa wengine ni makatazo. Haya ndio maoni ya wanachuoni wengi. Haijalishi kitu hata kama Imaam Ahmad au mwengine amesema hayo. Ni kosa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 40
  • Imechapishwa: 10/11/2016