Ibn Baaz kuhusu ujinga ni udhuru X

Swali: Mwenye kufikiwa na vitabu vilivyopinda vya Bid´ah anapewa udhuru katika hali hii?

Jibu: Hapana, hapewi udhuru kwa hilo. Lakini anapewa udhuru kwa vitu vinavyoweza kuwa ni vyenye kufichikana kwake. Kwa mfano mambo ya wajibu ya hajj, ´Umrah, swawm na mfano wa hayo ambayo kweli yanaweza kuwa yenye kutatiza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 90
  • Imechapishwa: 24/07/2019