Ibn Baaz kuhusu makafiri ambao hawajafikiwa na Da´wah leo

Swali: Ni ipi hukumu ya wale ambao hawajafikiwa na ulinganizi mpaka hii leo?

Jibu: Hawa sio waislamu na wala sio makafiri. Jambo lao liko kwa Allaah. Wanaingia katika Ahl-ul-Fatrah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 130
  • Imechapishwa: 23/01/2017