Ibn Baaz kuhusu maana ya neno البصيرة

Swali: Baswiyrah (البصيرة) ni kitu gani?

Jibu: Elimu kuhusu yale aliyosema Allaah, Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), yale wanayofuata watu wa haki na yale wanayofuata watu wa batili. Mtu akapambanua kati ya Tawhiyd na shirki, Uislamu na kinyume chake kutokana na ile elimu aliyopewa mtu na Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Ibn Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 31
  • Imechapishwa: 03/06/2019