Ibn Baaz kuhusu kufasiri neno “Kulingana” kuwa ni kutawala

Swali: Vipi mtu atawaraddi ´Ashaa´irah ambao wamefasiri neno “kulingana kwa Allaah” ya kwamba ni kutawala?

Jibu: Kutawala inakuwa kwa kiumbe kama mfano wa wafanyavyo wafalme. Ama Allaah Yeye Yuko juu ya viumbe Vyake vyote na ndiye Mfalme wa kila kitu (Subhaanahu wa Ta´ala). Hii ni kasora [kwa Allaah]. Ni uzushi na uongo na kufuru na tunaomba msaada kwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
  • Imechapishwa: 09/08/2020