Swali: Unasemaje juu ya utata unaosema kwamba Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab alifanya uasi kwa dola ya ´Uthmaaniyyah?

Jibu: Nchi ya Najd ambapo Shaykh alikuwa anaishi haikuwa chini waturuki na chini ya dola ya ´Uthmaaniyyah. Uongozi wake ulikuwa kwenye mikono ya watu wake. Dola haikuwa na mfalme.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 01/05/2018