Ibaadhiyyah ni katika mapote ya Khawaarij

Wanachuoni na watafiti wameafikiana, tangu hapo kale mpaka hii leo, ya kwamba Ibaadhiyyah ni inapokuja katika misingi yake ya ´Aqiydah ni tawi linalotokamana na Khawaarij. Wanaafikiana katika misingi yao mingi waliyotoka nayo Khawaarij kutoka katika Ummah. Tofauti yao iliyojitokeza ni katika msimamo wao kati ya waislamu wengine, hukumu ya kuishi nao, lini inafaa kuwapiga vita na hukumu zao katika hali ya usalama na vita[1].

[1] Kwa mfano tu tazama ”Maqaalaat al-Islaamiyyiyn” (01/183) cha Abul-Hasan al-Ash´ariy, ”al-Firaq bayn al-Firaq”, uk. 103 na ”al-Milal wan-Nihal” (01/133).

  • Mhusika: ´Abdullaah as-Salafiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ibaadhwiyyah fiy miyzaan Ahl-is-Sunnah, uk. 07
  • Imechapishwa: 28/01/2017