Huyu ndiye mgonjwa anayefaa kulisha Ramadhaan


Swali: Kuna mwanamke ni mzee na hawezi kufunga masiku ya swawm ya Ramadhaan kwa maradhi yasiyotarajiwa kupona. Ana nini juu yake?

Jibu: Alishe. Ikiwa hawezi kufunga, si kwa sasa wala huko baadaye, atolewe chakula:

فِدْيَةٌ طَعَامُ مِسْكِينٍ

“.. basi watoe fidia kuwalisha masikini.” (02:184)

 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13521
  • Imechapishwa: 16/11/2014