Swali: Mwenye kuwapa makafiri khabari za waislamu. Ni ipi hukumu yake katika Uislamu? Je, kwa kitendo hichi anakuwa mwenye kuwasaidia makafiri?

Jibu: Huyu anazingatiwa ni jasusi. Huyu ndiye jasusi. Mwenye kuchukua khabari za waislamu na akawapa makafiri ili makafiri wawafanyie njama waislamu, huyu ni mwenye kusaidizana nao na ndiye jasusi. Hukumu yake ni kuuawa ikithibiti kwake kitendo hichi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidhl-il-Islaam (08) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/08.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2019