Huyo mpige Radd!


Swali: Ni lipi la wajibu kwetu kwa mtu ambaye anatoa fatwa ya kujuzu mchanganyiko na kadhalika anasema kuwa swalah ya jamaa´ah sio wajibu?

Jibu: Mpige Radd, mkataze aliyoyasema na mbainishie dalili juu ya upotevu wa maneno yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014