Huu ndio ulikuwa mfumo wa Ibn Baaz?


Swali: Kumezuka kundi la walinganiaji wanaosema kuwa wako na mfumo wa Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na wanakaa na Ahl-ul-Ahwaa´ na Hizbiyyuun. Wako nao kwa miaka. Je, huu ndio ulikuwa mfumo wa Shaykh (Rahimahu Allaah)?

Jibu: Mfumo wa Shaykh (Rahimahu Allaah) ni wenye kujulikana kupitia vitabu vyake na kwa wale waliokaa naye na kusoma kwake. Wanajua mfumo wao. Yaliyosemwa kwenye swali haikuwa mfumo wao. Huku ni kumsemea uongo na kumzulia Shaykh.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020