Hukumu ya pesa ambazo mume na mke wamedanganya serikali kuwa wameachana


Swali: Ipi hukumu kwa mwanaume ambaye ni Muislamu kumpa mke wake Talaka kwa kuandika jina la mwanaume mwingine naye (mke huyo) yuko katika dhimma yake ili wapewe pesa kutoka serikali?’

Jibu: Ni kama tulivyotangulia kusema[1], yote haya ni maovu na ni mali ya Haramu.

[1] Tazama http://firqatunnajia.com/mwanamke-anadanganya-serikali-ili-apewe-pesa-zaidi/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb
  • Imechapishwa: 01/04/2018