Swali: Ni yapi maoni yako juu ya maimamu wa baadhi ya mapote yaliyopinda wanaosema kuwa wamefika katika ngazi ya yakini na kwa hivyo ´ibaadah sio yenye kuwalazimu?

Jibu: Hii ni kufuru kwa mujibu wa maafikiano ya wanachuoni wote. Mwenye kusema kuwa ´ibaadah zimeanguka kwake anakufuru kwa maafikiano. Isipokuwa ikiwa kama amepatwa na wendawazimu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 122
  • Imechapishwa: 14/01/2017