Swali: Ni ipi hukumu kwa ambaye anaamini mawingu?

Jibu: Vipi ataamini mawingu? Mwenye kuamini au kusadikisha nyota kwenye magazeti kuhusiana na matukio na maelezo juu ya mambo yaliyojificha ni mshirikina kafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017