Hukumu ya kuwatakia makafiri mwaka mpya

Swali: Je, inaruhusiwa kuwatakia makafiri mwaka mpya? Je, inaruhusiwa kupongeza mwaka mpya wa Kiislamu na siku ya mazao ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?

Jibu: Hapana, haijuzu kwa sababu matukio hayo hayakuwekwa katika Shari´ah kuyapongeza.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alifta.com/Fatawa/FatawaChapters.aspx?View=Page&BookID=7&PageID=151
  • Imechapishwa: 05/10/2020