Hukumu ya kuuza vinywaji mchana wa Ramadhaan

Swali: Ipi hukumu ya mwenye kuuza vinywaji mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Ikiwa anasaidia watu kula, hili halijuzu. Kwa kuwa ni katika kusaidiana katika uovu na uadui na Kaliharamisha Allaah. Na ikiwa anawauzia wasafiri na wagonjwa au watu wanakihifadhi mpaka saa ya kufuturu, hakuna ubaya.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020