Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Khutbah ya Ijumaa kwa utungo (Tartiyl)?
Jibu: Kusoma kwa utungo inakuwa kwa Qur-aan. Kisichokuwa Qur-aan kisisomwe kwa utungo. Lakini anaweza akasoma Khutbah kwa sauti nzuri, kwa kuwa kufanya hivi kunawaathiri wasikilizaji.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-5-29.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014