Hukumu ya kunyanyua kidole juu baina ya sijda mbili

Swali: Ni ipi hukumu ya kunyanyua kidole cha shahaadah kati ya sijda mbili?

Jibu: Ni jambo linahitajia dalili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 14/10/2018