Hukumu ya kumtukana Mu´aawiyah


Swali: Ni ipi hukumu ya kumtukana Mu´aawiyah (Radhiya Allaahu ´anh)?

Jibu: Mu´aawiyah ni Swahabah mtukufu na ni kiongozi wa waumini na waislamu hawakuona kwake isipokuwa kheri tupu. Haijuzu kumtukana, Swahabah huyu mtukufu na kiongozi wa waumini. Hakuna alichofanya isipokuwa kheri tupu. Alisimama kidete dhidi ya watu wa Bid´ah, alisimama kidete dhidi ya Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 20/11/2018