Swali: Kukariri Du´aa katika Swafa na Marwa ni kwa njia ya mapendekezo [Istihbaab] au njia ya uwajibu?
Jibu: Mapendekezo. Adhkaar na Du´aa zote katika Twawaaf na Say´ ni kwa njia ya mapendekezo na sio wajibu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-04-06.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014