Swali: Mtu wa kwanza kudai ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametajwa katika vitabu vya kihindi ni Mirza Ghulaam Ahmad al-Qaadiyaaniy. Baadhi ya walinganizi wanarejea katika  vitabu vyake na  kueneza maneno yake kati ya watu wote. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?

Jibu: Hapana. Inakutosheleza Qur-aan na Sunnah. Huhitaji vitabu vya Qaadiyaaniyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
  • Imechapishwa: 19/09/2017