Hizbiyyuun wataulizwa juu ya damu ya watoto wa Kisyria


Swali: Kipindi cha mwisho picha za watoto waliouawa na zaidi ya wasyria 200 waliozama zimeenezwa. Je, wachokozaji wenye kuita katika migomo na katika msimu wa kiarabu wanaingia katika dhambi hii kubwa?

Jibu: Mwenye kuita katika kuwafarikisha waislamu na fitina anaingia ndani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=154535 Tarehe: 1436-11-21/2015-09-05
  • Imechapishwa: 05/09/2020