Hali kadhalika Hizb-un-Nuur ya Misri ni kundi la Suruuriy. Ni kama (Hizb-ur-Rashaad la Yemen). Hizb-un-Nuur la Misri ni kundi katika Suruuriy. Suruuriyyah ni katika Khawaarij. Wana sehemu katika Bid´ah za Khawaarij. Watakubali demokrasia. Kwa kule kuunda chama, watalazimika kukubali demokrasia. Watakubali kupiga kura. Kwa kule kuunda kwao kundi, watakubali demokrasia, kupiga kura na mwanamke kushiriki. Watafanya kama yale ambayo vyama vyengine wanayofanya.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.ibnbaz.se/Artiklarna/901-1000/005.html
  • Imechapishwa: 04/09/2020