Hivyo ndivyo wanavyosema wasiokuwa wasomi

Swali: Je, ni kweli kwamba fatwa zinabadilika kwa kubadilika kwa wakati na mahali?

Jibu: Haya ni maneno yanayosemwa na watu. Fatwa inatakiwa iwe kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah, kila wakati na mahali. Hazitakiwi kutoka katika Qur-aan na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017