Hivo ndivyo wasemavyo Hanafiyyah


Swali: Kuna wanachuoni wanaosema kuwa imani ni kutambua kwa ulimi na kusadikisha kwa viungo vya mwili, kwamba imani ni moja na kwamba watu wote kimsingi wako sawa. Je, maneno haya ni sahihi?

Jibu: Hapana, si sahihi. Hivi ndivo wasemavyo Hanafiyyah. Wao ndio wanaosema hivo. Inaenda kinyume na ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah. Kwa ajili hiyo ndio maana wanaitwa “Murji´ah wa Ahl-us-Sunnah”. Hanafiyyah wanaitwa “Murji´ah wa Ahl-us-Sunnah”. Hii ni Irjaa´.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 08/02/2018