Ninamuomba Allaah, hali ya kuwa ametukuka, tafiti hii iwe ni yenye kuelekeza katika njia bora na njia yenye kuelekeza katika radhi za Allaah (Ta´ala).

Swalah na amani zimwendee Mtume na mja Wake Muhammad, kizazi Chake na Maswahabah zake.

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluud, uk. 38-39
  • Imechapishwa: 12/09/2022