Swali: Ni ipi hukumu kupangusa juu ya hina inayowekwa nyweleni wakati wa kutawadha?

Jibu: Hakuna neno japokuwa itakuwa ni yenye kuzuia kufika kwa maji. Lakini wakati wa kuoga josho la hedhi na janaba ni lazima kuiondosha. Hina kichwani, japokuwa itakuwa inazuia ufikaji wa maji, hakuna neno wakati wa kutawadha. Lakini wakati wa kuoga josho la hedhi na janaba ni lazima kuiondosha.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (68) http://binothaimeen.net/content/1540
  • Imechapishwa: 20/02/2020