Hila kazini


Swali: Ni ipi hukumu ya kuchelewa kazini na kutoka sehemu ya kazi kabla ya wakati? Ni ipi hukumu ya kuchukua likizo kazini bila ya kuwatambulisha?

Jibu: Yote haya uliyotaja hayajuzu. Wewe mwenyewe hauko radhi wachukue pesa hata moja kutoka kwenye mshahara wako. Tumia kile unachotumia juu na chini kwenye kila kitu. Vipi utatumia kazi vibaya na wakati wa kazi? Haijuzu. Ni wajibu wako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 02/06/2018