Swali: Ni ipi hukumu ya kuhajiri kwenda katika miji ya Ulaya?

Jibu: Kuhajiri inakuwa kutoka katika nchi ya kikafiri kwenda katika nchi ya Kiislamu. Hii ndio Hijrah iliowekwa katika Shari´ah. Mtu anafanya hivo kwa ajili ya kuisalimisha dini. Ni kutoka katika nchi ya shirki na kufuru na kwenda katika nchi ya Kiislamu na Tawhiyd. Hii ndio Hijrah iliowekwa katika Shari´ah. Mtu anafanya hivo kwa ajili ya kuisalimisha dini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa’ http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 24/02/2018