Swali: Inajuzu kwa mwanamke wa Kiislamu kusafiri kutoka katika mji wa kikafiri kwenda katika mji wa Kiislamu kwa sababu ya Hijrah?

Jibu: Ndo. Wanachuoni wanasema kuwa katika hali hii anaweza kusafiri hata kama hana Mahram. Hili limevuliwa. Imevuliwa akasafiri bila Mahram ikiwa lengo ni Hijrah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020