Hijaab – jambo la Kishari´ah au ada tu?


Swali: Mwenye kusema Hijaab ya mwanamke ni katika ada na sio katika Shari´ah ya Allaah.

Jibu: Kwa kuwa huyu hajui Shari´ah ya Allaah. Hajui zaidi ya ada tu. Maneno yake hapuuzwe huyu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014