Hii sio Ruqyah


Swali: Kuna Ruqyah inayokuwa kupitia rekodi?

Jibu: Hapana, hakuna Ruqyah ya kupitia rekodi. Hii haitwi “Ruqyah”. Ruqyah ni mtu akusomee. Kuhusu kusikiliza rekodi haitwi Ruqyah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67832&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 26/08/2017