Swali: Kumuasi Allaah pindi mtu anapokuwa peke yake inahesabika ni aina ya unafiki?

Jibu: Inahesabika ni kuwa na imani dhaifu. Vilevile ni aina moja wapo ya unafiki. Hili halina shaka. Lakini ni unafiki unaohusiana na matendo na sio unafiki unaohusiana na I´tiqaad.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (06) http://alfawzan.af.org.sa/node/2049
  • Imechapishwa: 11/12/2016