Hii inakubalika Kishari´ah?


Swali: Katikati ya swalah mlio wa simu unadunbwiza muziki. Baada ya swalah anasimama mmoja wa waswaliji na anamkemea aliyefanya hivo kwa sauti ya juu. Je, kitendo hichi kinakubalika katika Shari´ah?

Jibu: Kitendo kipi unachoulizia; mlio wa simu au yule aliyemkaripia?

Muulizaji: Yule aliyemkemea.

Jibu: Ndio. Ni kwa nini asizime simu na anaiweka mlio wa muziki na kuwashawishi wenye kuswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017