Swali: Kuna hekima gani ya kuharamishwa nguo yenye kuvuka chini ya kongo mbili za miguu?

Jibu: Kwa sababu ni majivuno na mtu kuikweza nafsi yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Shuka yenye kuvuka chini ya kongo mbili za miguu ni Motoni.”

“Yule mwenye kuburuta nguo yake kwa majivuno basi Allaah hatomtazama siku ya Qiyaamah.”

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/عليكم-بسنتي-وسنة-الخلفاء-الراشدين
  • Imechapishwa: 20/06/2022