Hekalu Za Makafiri Zisijengwi Katika Miji Ya Kiislamu

Swali: Ni sahihi kuwa uvumilivu wa Uislamu na jambo la kutokuwepo ulazimishaji katika dini unajuzisha kujenga hekalu za mabudha na kanisa za manaswara katika miji ya Kiislamu?

Jibu: Ni batili. Wasiwezeshwe hata kidogo kujenga kanisa wala hekalu za kishirikina katika miji ya Kiislamu. Kanisa ambazo zimekutwa ndio zinaachwa. Zikibomoka hazijengwi tena. Makanisa yaachwe ikiwa ni ya makafiri ambao waislamu wana mkataba nao. Hata hivyo zisijengwi tena katika miji ya Kiislamu. Zikibomoka zisijengwi tena.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017