Swali: Kuna mtu ameandika makala ambapo akasema:

”Wanachuoni wamekubaliana juu ya kuheshimu maoni ya mwengine.”

Je, maneno haya ni sahihii? Je, haya ni maafikiano yenye kuzingatiwa?

Jibu: Haya ni maafikiano yake yeye. Ama kuhusu wanachuoni hawajaafikiana. Huku ni kuwasemea wanachuoni uongo. Wanakubaliana juu ya kuiheshimu haki. Wanachuoni wamekubaliana juu ya kuiheshimu haki na yaliyosimama juu ya dalili. Ama yenye kwenda kinyume na dalili ni yenye  kukataliwa hata kama kutakuwa maoni mengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/2377
  • Imechapishwa: 17/01/2018