Swali: Bora ni kuzitia mvi rangi nyingine isiyokuwa nyeusi au kiziacha zilivyo?

Jibu: Bora ni kuzibadilisha. Akiziacha hakuna neno pia. Maswahabah miongoni mwao wako ambao waliacha mvi, jambo ambalo linajulisha kuwa si lazima. Walichokuwa wanata kuonyesha ni kwamba kitendo hicho kinafaa. Sisi tumekutana na Shaykh Muhammad bin Ibraahiym na Shaykh Ibn Humayd na wote hawakugeuza mvi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 29/12/2020