Hawa ndio wawafanyao watu kuzipuuza Hadiyth zinazoshaji´isha utiifu

Swali: Kuna ambao wanawafanya watu wazipuuze Hadiyth Swahiyh zinazoshaji´isha kumsikiliza na kumtii mtawala wa waislamu na kuwatuhumu wale wanaolingania kwazo ya kwamba ni miongoni mwa watiifu waliopindukia. Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Wanazingatiwa ni katika Khawaarij. Khawaarij ni pote lililokoseshwa nusura na Allaah (´Azza wa Jall). Hawajawahi kusimama. Maneno haya hayatuhusu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=162071
  • Imechapishwa: 11/03/2017