Hawa ndio maimamu na wabebaji wa Sunnah


Swali: Mwanachuoni akienda kinyume na madhehebu ya Salaf katika suala au masuala mengi anaambiwa kuwa ni katika wanachuoni wa Sunnah, kama mfano wa Ibn Hajar, an-Nawawiy na wengineo (Rahimahumu Allaah)?

Jibu: Bila ya shaka. Hawa ni katika wabebaji wa Sunnah na ni katika maimamu wa Hadiyth (Rahimahumu Allaah). Hata kama waliteleza na baadhi ya makosa katika taawili na kadhalika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (59) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-11-18.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014