Hauko huru katika kumuasi Allaah


Swali: Maneno ya mtenda dhambi wakati anapokatazwa:

”Mimi niko huru katika matendo yangu?”

Jibu: Hili ni kosa. Tunamwambia kuwa hayuko huru katika kumuasi Allaah. Bali unapomuasi Allaah basi umetoka katika ule utumwa ambao unadai wa kumuabudia Allaah na kwenda katika utumwa wa shaytwaan na matamanio.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Manaahiy al-Lafdhwiyyah, uk. 25
  • Imechapishwa: 01/07/2022