Hatuhitajii tamthili wala Anaashiyd


Swali: Tamthili za kidini na Anaashiyd zinawaidhisha mioyo?

Jibu: Hapana. Zinasababisha ughafilikaji. Mambo haya sio katika njia za Da´wah. Da´wah inakuwa kwa mawaidha, Qur-aan na Sunnah na mfumo uliotendewa kazi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na walinganizi wakweli. Hatuhitajii mambo haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/07/2018