Hata neno limoja wakati wa Khutbah ya ijumaa


Swali: Inajuzu kwetu kumtakia rehema anayechemua wakati kunatolewa Khutbah ya ijumaa?

Jibu: Hapana. Usimtakie rehema yule mwenye kupiga chafya. Wala usimrudishie salamu akiwepo yeyote mwenye kukutolea salamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017