Swali: Kwenye masoko kunauzwa hariri za bandia. Je, zina hukumu moja ya uharamu kama hariri za kweli?

Jibu: Sio hariri, ni bandia. Sio hariri za kweli. Lakini hata hivyo muislamua akijiepusha nazo kwa ajili ya kujiepusha na mambo yenye utata ndio bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (9) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340506.mp3
  • Imechapishwa: 29/03/2017