Swali: Nasikiliza Qur-aan kwenye redio na TV. Je, inajuzu kuizima katikati ya Aayah au ni lazima niizime baada ya Aayah kwisha?
Jibu: Bora ni kuzima baada ya Aayah kumalizika. Ndio bora zaidi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
- Imechapishwa: 13/08/2017