Hapa ndipo tutaenda kula na Ahl-ul-Bid´ah


Swali: Je, inajuzu kuitikia karamu ya ndoa ya Ahl-ul-Bid´ah?

Jibu: Hapana. Mtu hatakiwi kwenda na kula kwenye mialiko ya Ahl-ul-Bid´ah. Wala mtu hatakiwi kuwaalika isipokuwa ikiwa anataka kuwalingania kwenye uongofu, kuwanasihi na kuwaelekeza.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.ajurry.com/vb/showthread.php?t=45676
  • Imechapishwa: 13/04/2020