Hapa ndipo matumizi yanaanza kufanya kazi

Swali: Ni wajibu kwa mume kumpa matumizi mwanamke ikiwa walikuwa naye faragha pasi na kufanya jimaa?

Jibu: Pale tu atapomuoa, basi imewajibika kwake kumpa matumizi. Isipokuwa tu ikiwa kama atakataa kuhama naye. Katika hali hii mwanamke hana haki ya kupewa matumizi. Lakini maadamu anaweza kuhama kama wanataka kufanya hivo, basi ni wajibu kumhudumia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/02/2018